Tuesday, December 31, 2013

Picha 7 zikionyesha Mamba akipasuliwa na kutolewa mtoto wa miaka 9

Mnamo mwezi Aplili mwaka 2007, huko kusini mwa China katika wilaya ya Yinhai iliopo mji wa Guangxi Zhuang, Polisi waliitwa ili wasaidie kumuua Mamba aliyekua amemeza mtoto wa miaka 9. Na hizi ni picha zilizopigwa wakati wa tukio zima mara baada ya polisi kufika

.10

 

11

 

13

 

16

 

24723382-crocodile-ate

 

24723385-crocodile-ate