Leo nilikua naangalia msanii mmoja akihojiwa kwenye kipindi kimoja maarufu cha TV, mara ghafla swali likaniijia kichwani, Hivi huyu jamaa atafanana vipi miaka 30 au 40 ijayo? Ndipo nikapata Idea ya kutafuta picha za baadhi ya mastaa wa Afrika Mashariki na kuzihariri. Hebu ona mtokeo hapa chini kisha toa maoni yako. Nani mwingine ungependa kum
wona uzee wake?
1. Diamond
2. Hasheem Thabeet
3. Jaguar
4. Jokate
5. Juliana Kanyomozi
6. Lulu
7. Masanja
8. Prezzo
9. Salama
10. Wema Sepetu