Matango ni moja kati ya matunda ambayo hupatikana kwa wingi sana katika nchi nyingi za Afrika na hasa Tanzania. Kutokana na upatikanaji wake huo rahisi watu wengi wanaweza kudhania au kuashum kwamba hata thamani yake kwa maana ya faida zake pia nia rahisi. Lakini acha leo niwadokeze baadhi ya faida za tunda Rahisi lakini Muhimu.
1. Dawa ya Maumivu ya Goti (Arthritis / Gaut)
2. Hupunguza Rehemu (Cholesterol)
3. Husaidia kupunguza Uzito
4. Hurahisisha Kuyeyusha/Kusaga Chakula (Digestion)
5. Huzuia Saratani
6. Huzuia Maumivu ya Kichwa
7. Hutibu Kisukari
8. Hurekebisha Msukumo wa Damu (BP)
