José Mujica aliye zaliwa tarehe 20 May 1935 ni mwanasiasa mkongwe wa Uruguay na Rais wa nchi hiyo tangu mwaka 2010. Kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo, Bwana José Mujica hulipwa kiasi cha dola za kimarekani 12,000 kwa mwezi, ambazo ni sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 19.5 za kitanzania. Lakini José Mujica hutoa asilimia 90 ya mshahara wake huo na kuchangia masikini na watu wasiojiweza na kubakiza asilimia 10 ( Tsh. Mil 1.9) tu ya mshahara wake huo.
José Mujica akitembea maeneo ya nyumbani kwake.
José Mujica akitelemka kutoka kwenye Usafiri wake wa pekee.
José Mujica akiwa saluni.



