- Glasi 2 za maji baada ya kuamka, husaidia kuamsha Ogani za mwili (kama Maini, Moyo na Mapafu) na zifanye kazi vizuri.
- Glasi 1 ya maji dakika 30 kabla ya kula, husaidia katika mfumo wa Kuyeyusha au Kusaga (Digestion) chakula.
- Glasi 1 ya maji kabla ya kuoga, husaidia kurekebisha mfumo wa msukumo wa Damu (Blood Pressure) mwilini.
- Glasi moja ya maji kabla ya kulala, husaidia kukulinda dhidi ya uwezekano wa kupata Ugonjwa wa Moyo (Stroke / Heart attack)
