Thursday, August 1, 2013

Faida za Kula Chokleti (Chocolate):

Sina uhakika sana lakini naamini wengi wetu tumekua tukiamini Chokleti ni kiburudisho/chakula cha kawaida kabisa na wala hakina faida zozote kwenye afya ya binadamu. Lakini leo nimekutana na post moja Facebook ikielezea baadhi ya faida zake. Ndipo kama kawaida yangu, nikaamua kufanya uchunguzi zaidi na nikapata nakala kadhaa kutoka kwenye website na blog kadhaa ambazo zinaaminika zikielezea kwa undani zaidi juu ya faida za Choklate kwa afya ya binadamu. Na faida zenyewe ni kama ifuatavyo:


  • Huzuia Ugonjwa wa Moyo
  • Hurekebisha kiwango cha Sukari kwenye Damu
  • Hushuza BP (Msukumo wa Damu)
  • Hupunguza Rehemu (Cholesterol)
  • Hulinda Ngozi
  • Hupunguza uwezekano wa pupatwa na Kiharusi (Stroke)
  • Ni tiba ya Upungufu wa Damu (Anemia)
  • Huongeza uwezo wa Kuona