Tuesday, July 30, 2013

Baa ndani ya Mti wa Ubuyu.

  • Upo kwenye bustani ya Limpopo, nchini South Africa
  • Una upana wa Mita 47.2 (karibu sawa na nusu ya uwanja wa mpira wa miguu).
  • Unaweza kuingiza watu wazima 40 kwa wakati mmoja
  • Unakadiriwa kua na umri wa miaka 6,000.