Lee Redmond, mwenye umri wa miaka 68 na raia wa Marekani aliwahi kushika rekodi ya kuwa na kucha ndefu zaidi duniani baada ya kucha zake alizoanza kuzifuga 1979. Hadi mwaka 2008 kucha hizo zilikua na urefu wa Futi 28 na Inchi 4.5.
2. Mwanamke anaongoza kwa kua na Macho makubwa.
Kim Goodman, raia wa Marekani ana shikilia rekodi ya uwezo wa kutoa macho (kuyakuza macho)
3. Mwanaume anayetoa Maziwa kwenye macho
Ilker Yilmaz, raia wa Uturuki anashikilia rekodi ya kutoa maziwa kwenye macho. Ana uwezo wa kukamuua maziwa kwenye macho yake na kuyarusha kwa urefu wa Futi 9 na Inchi 2.
4. Ngozi inayovutika zaidi
Garry Turner, raia wa Uingereza ana uwezo wa kuvuta ngozi yake kwa kiasi cha Inchi 6.25
5. Kuvuta vitu vizito kwa kutumia Macho
Chayne Hultgren, anashikilia rekodi ya ajabu na akusisimua ya uwezo wa kuvuta vitu vizito kwa kutumia ngozi ya macho yake.