1. Sanguine
- Ni watu wachangamfu wakati mwingi.
- Wana marafiki wengi
- Huongea sana
- Wanajua kutia moyo
- Wabunifu
- Wanapenda kujulikana
- Wanapenda kushereheka
- Wasahaulifu
- Wana tabia ya kuchelewa mihadi
- Huchukia kutothaminiwa
- Hupoteza shauku kirahisi kama jambo halifurahishi
2. Choleric
- Hupenda uongozi
- Watu wanaishi kwa malengo sana
- Ni viongozi wazuri
- Hukasirika haraka
- Wana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi
- Wana uwezo wa kupanga mipango mizuri
- Hawapotezi shauku ya mambo kirahisi
3. Melancholy
- Wana uwezo mzuri wa kufikiria
- Hupenda kufanya mambo kwa ukamilifu
- Hupendelea zaidi kukaa pekeyao
- Hufanya mambo kwa ratiba
- Ni waaminifu (Humaanisha wasemacho)
- Hawapendi kulalamika
- Hupenda kujitegemra
- Huamini katika kufanya mambo wenyewe
- Ni wabunifu wazuri
- Hufanya vizuri kwenye mambo kama Muziki na Ushahiri
4. Phlegmatic
- Ni watu Wakimya
- Hupenda Amani
- Hupenda kupenda na kupendwa
- Wana aibu wakati mwingine
- Wana uwezo wa kuvumiliana na hali
- Wanaonekana kua wavivu wakati mwingine
- Ni watu wasio na Papara
- Huonekana wasiokua na Nguvu nyingi
Je wewe umejiweka kwenye kundi gani? Tuambie kwa ku-comment hapo chini.
