Thursday, February 27, 2014

Picha 13 zenye Mguso wa Kipekee

Mbwa aliyefaamika kwa jina la “Leao” akiwa anaomboleza pembeni ya kaburi la Mmiliki wake aliyefariki katika maporomoko ya ardhi mjini Rio de Janiero mwaka 2011

Mkono wa Kijana akifa na Njaa na wa Mmishenari

Babu wa Afganstan akimkirimia kikombe cha chai Askari wa kimarekani akiwa vitani.


Mtoto wa miaka 5 akipiga pafu ya sigara huko St. Jacques, Perpignan nchini Ufaransa.


Mtoto akimkokota Baba yake aliyelewa chakalii…


Kijana huyu amepewa taarifa za kifo cha Kaka yake.


Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo mara baada ya kufanikisha Upasuaji uliodumu kwa Zaidi ya Masaa 23. Msaidizi wake amelala kwenye kona.


Baba na Mwana 1949 - 2009


Diego Frazão Torquato, mvulana wa miaka 12 kutoka Brazil akicheza violin wakati wa mazishi ya Mwalimu wake aliyemsaidia kutoka katika Maisha duni na Uharifu kwa kupitia Muziki


Watu wasio na makazi (Ombaomba) wa nchini India wakisubiri kupokea chakula cha bure nje ya msikiti mjini New Delhi


Terri Gurrola akimkumbatia Binti yake walietengana kwa miezi 7 wakati akienda Vitani nchini Iraq.


Mtu akianguka kutoka kwenye jengo la World Trade Center, baada ya shambulio la Ugaidi la 9/11.


Wapenzi waliokufa wakiwa wamekumbatiana kwenye jengo lililoanguka mjini Bangladesh.